KUFANIKIWA NA KUANGUKA NI KAMA MATOKEO YA KAZI, JAMBO AU SAFARI MOJA KATIKA MAISHA. Watu wengi huwa wanaogopa kuthubutu, kujaribu au kuanza jambo la kimaendeleo au kibiashara au la kiuchumi kwa ujumla, kwa sababu wanaogopa kupoteza. Kikubwa wasichojua ni kuwa kwenye uwekezaji wowote, lazima utarajie hasara na kupoteza au KUANGUKA, lakini ukubwa wa kinachotaraijiwa kupotea au KUANGUKA ndio hicho hicho kisipopotea hugeuka na kuwa faida. Punguza muda wa kulala, punguza matumizi yasiyo ya lazima, punguza kufanya ya gharama yasioyo na faida ili watu wakuone kuwa umefanikiwa. Mafanikio si ya watu bali ni ya kwako, utakapofuka huko Kila mtu atajua kuwa uko juu. Pambania ndoto yako bila kuchoka wala kukoma, ipo siku utakaa na kula matunda yako.
Posts
Showing posts from December, 2024