UFUGAJI SHUGHULI ISIYOHITAJI MTAJI MKUBWA LAKINI NI YENYE MAFANIKIO KWA MTU ALIYEJITOA

Kuna shughuli za uzalishaji mali ambazo ili uanze unahitaji mtaji Mkubwa sana, lakini hii ni tofauti kabisa na ufugaji wa mifugo mbalimbali hasa ile ya asili kama Mbuzi,Kuku,Bata,Njiwa,Sungura,Samaki, n.k

Ufugaji huu unahitaji eneo dogo sana kwa kuanzia, hata pale unapoishi ukipata mtaalamu anaweza kukujengea banda ktk sehemu ndogo lakini ukatunza mifugo mingi,

Yapo mabanda yanayohamishika, yapo yenye ghorofa mpaka tano kulingana na aina unayohitaji.

Huko mbele tutajifunza namna ya kufuga kisasa kwa kutumia eneo Dogo kwa kila aina ya mfugo na mifano yake,

Kwa msaada, ushauri, Ujenzi wa mabanda ya kisasa usisite kuwasiliana na Mwl. Boniface Abel Masanja kwa namba 0714 477092 au 0621 020164

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA YA UJASIRIAMALI?

TOFAUTI KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA

TABIA NA SIFA ZA MJASIRIAMALI