VIPINDI KUPITIA RADIO

Karibu sana mdau wa ujasiriamali na yeyote yule mwenye nia ya kujifunza na kubadilishana mawazo pamoja na fursa,

Nitakuwa hewani kupitia radio Mwangaza Fm hasa kwa wakazi wa Dodoma na miji ya Jirani, ni kila jumanne saa mbili na nusu usiku ya kila wiki na marudio yake ni kila alhamisi saa tano asubuhi.

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA YA UJASIRIAMALI?

TOFAUTI KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA

TABIA NA SIFA ZA MJASIRIAMALI